Thursday, October 15
Wasomi wa tz wasema nchi imekosa mwelekeo(haina dira)..kwa sababu zifuatazo;-
1.Umoja na amani imeanza kutoweka kutokana na wa2 wachache kuendelea kuchota fedha za umma na kuacha pengo kubwa kati ya wenye nacho na waco nacho,hivyo kuatarisha amani ya taifa 2.matatizo mengi yaliyoko tz kama vile ufisadi,migongano ndani ya vyama vya siasa,tatito la vitambulisho zanzibar,ni kutokana na nchi kutokuwa na dira. 3.viongozi wa vyama vya siasa hutumia viongozi wa dini kujitafutia umaarufu na miongozo inayotolewa na dini inachangia kuwatenga watz kuliko kuwaunganisha 4.kutotolewa tamko hadi sasa kwa tatizo la vitambulisho zanzibar kwani hadi sasa Rais yuko kimya ,Haki za binadamu nao wako kimya hali ambayo inaweza kusababisha machafuko kama yaliyotokea mwaka 1995 na 2005 zanzibar 5 kukosa msemaji wa nchi kwa sasa wanasiasa wametenga mamilioni ya fedha kwa ajili ya kampein lkn hkuna m2 wa kuwahoji wamezipata wapi fedha hizo na kwa njia gani watazirudisha?
je ni kweli kwamba nchi ya tz haina msemaji kutokana na matatizo yaliyoko? na je ni kweli nchi haina dira?Nani kweli dini nazo zinachangia kuwatenga wa tz kuliko kuwaunganisha...?
TOA MAONI YAKO.....