I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Saturday, October 31

MECHI YA KIRAFIKI YA WANAFUNZI WATANZANIA WAISHIO HYD INDIA LEO SAA 5:00PM JIONI.

Mechi hiyo ilifanyika uwanja wa sainkpuri kati ya watanzania
wanaoishi eneo la sainkpuri na wanaoishi eneo la mjini tolichowki/Nampally
leo tarehe 31.10.2009 ambapo hadi mwisho walitoka 1-1
hawa ni baadhi ya wachezaji
wakijiandaa kabla ya kuanza mechi

huyu ni kijana Abdul Aziz kutoka eneo la mjini
akijiandaa kuingia uwanjani

hawa ni baadhi ya watanzania waliokuja
kuangalia mechi uwanja wa sainkpuri