I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Wednesday, October 7

Elizabeth anatuhitaji sasa!!


Ni yule mwakilishi wa Tanzania katika shindano linaloendelea huko Bondeni la Big Brother ambaye wiki hii amewekwa kikaangoni

Katika mambo ya kuendeleza Revolution za Biggy, amewaweka washiriki wote kwenye timu ya watu wawili wawili ambapo Eliza amewekwa na Kevin wanigeria.

Katika nomination jumatatu hii timu ya Kristal na Quinn pamoja na timu ya Hannington na Yakob ilikuwa ndo waliwekwa kikaangani,lakini kichwa mtu Itai alipewa jukumu la kuiokoa timu moja na kuwaokoa Kristal na Quinn na kuwaweka Elizabeth na Kevin .

Na mchakato ulivyo kura zikimzidi mmoja wa timu wote mnatoka hivyo basi, nikazi yetu kuwa kuwaokoa Eliza na Kevin ili Eliza afanikiwe fika mwisho na apate mahelaaaa!!