I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Sunday, October 18

MKUTANO WA WATANZANIA(tsah) WAISHIO HYDERABAD INDIA LEO 18.10.09 HAWA NI WANACHAMA WAKISIKILIZA MKUTANO

Mkutano huu ulifanyika leo tarehe 18.10.09 saa kumi kamili sainipuri,milembe ambapo agenda kubwa zilikuwa ni kupitisha baadhi vipengele katika katiba,kutoa hesabu na takwimu za viongozi waliopita,kukabidhi jumuiya kwenye body ya trastii,kuteua body ya uchaguzi pamoja nakutangaza cku ya uchaguzi.
vipengele vilivyopitishwa ktk katiba ni kuwepo kwa msaidizi wa katibu mkuu na katika wadhifa wa muweka hazina kutakuwa na wahakiki 2 ndani na nje wa ndani atachaguliwa na viongozi na wa nje atachaguliwa na wanajumuia wote kwa hiyo nafasc hii iko wazi kwa wagombea
Ndugu mtanzania fomu za uchaguzi au za kugombea nyadhifa mbalimbali zimeanza kutolewa leo na mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 28mwezi huu na uchaguzi utakuwa tarehe 1 Nov 2009
nafasi zitazogombewa ni; MWENYEKITI,
M/KITI MSAIDIZI,
KATIBU,
KAIMU MWENEZI,
NA MUWEKA HAZINA
FOMU ZA KUGOMBEA ZINAPATIKANA KWA
NDUGU
MATATA,
KAYOMBO,
LILIANI,
KAPESA,
SIMBO,
NA CHIKU