I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Wednesday, February 22

HapPy B.dAy to me!!!!

happy b.day to nkya85!!!....May God bless me alwayz!!!!

Wednesday, February 8

HapPy B.dAy .Dishu...!!!

Today 08.feb.z tha day which Dishit..B..has born, i wish him happy bday
with his family ..God bless u always!!!
happy B.day man!!!.....hav fun!!!!!

Monday, February 6

HapPy B.dAy Mikidadi....!!!!

Leo tar 06.feb..ni siku ya kuzaliwa Moh'd Mikidadi...Mkiti
wa watanzania 2012 mjini hyderabad india ..blog hii inamtakia furaha yeye
na familia yake yote ktk siku hii
ya kuzaliwa kwake
happy B.day Mikidadi..!!! stay blessed alwayz!!!

Wednesday, January 25

HapPy B.dAy Gidion,......!!!!

Namtakia furaha yeye na familia yake yote
ktk siku ya leo Mmungu amzidishie afya tele na mafanikio ktk maisha yake yote
happy b.day Gidion!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sunday, January 15

HapPy B.dAy TwINs Flaviana & Flavia ❤!!!!

Leo tar 16jan ni sku ya kuzaliwa kwa Flavia na Flaviana,.tunamuomba Mmungu awazidishie afya njema,umri mrefu na mafanikio ktk maisha yao

happy b.day 4 tha 2 of u!!!!...stay blessed always


Friday, November 25

HapPy B.dAy Miss Jokha!!!!!!!!!!

Miss Jo Chica Dulce (Jokha)

Thursday, November 24

HapPy B.dAy Vana!!!

Miss.Vanajakshi Moglisheety

Tuesday, November 22

Enjoy with miss Lopez!!!!!!!!!!!!!

HapPy B.dAy MsEmO !!!!!!!!!!!!!!!

Mr.Daniel Msemo
Leo tar 22,Nov..ni siku ya kuzaliwa Bw.Daniel Msemo..blog hii inamtakia furaha yeye na familia yke yote Mmungu akuzidishie afya tele na mafanikio ktk maisha yko..
happy B.day Msemo!!!...hav fun!!!!!


Burudika na jichakachue na ziki hilo kutoka udosini

Wednesday, September 28

Friday, September 16

HaPpY b.DaY Niyonziza Muheto!!!!!!!

...........................
Leo tarehe 16 sep ni siku ya kuzaliwa Miss Niyonziza Muheto.blog hii na kwa niaba ya ndugu zake wa karibu tolichowki,sainikpuri,tarnaka India tunamtakia furaha yeye na familia yake Mmungu amzidishie afya tele,maarifa,busara na mafanikio katika maisha yke ya baadae

happy b.day!!!!!!&have fun!!!!!!!!


Tuesday, May 31

Wednesday, May 4

Happy b.day Matata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mr. Said M.Matata
Leo tarehe 04 May ni siku ya kuzaliwa Mr.Said M.Matata..blog hii na kwa niaba ya ndugu zake wa karibu tolichowki,sainikpuri,tarnaka na malakpet India tunamtakia furaha yeye na familia yake Mmungu amzidishie afya tele,maarifa,busara na mafanikio katika maisha yke ya baadae

karibu Mr,Matata kwenye hii sayari ya dunia tule vinavyoliwa na binadam

happy b.day!!!!!!&have fun!!!!!!!!