I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Monday, October 12

MBINU ZA KUPATA KIPATO ZINAZO KERA DAR MJINI

Kila kukicha watu wanabuni namna ya kupate pesa hususani vijana wa mitaani na wale wanaojiita wa mjini. Hivi sasa vijana wamebuni njia ya kupata fedha kwa kushirikiana na ma mc ambao huwa wanaendesha shughuli za harusi. Mc huwatangazia wageni waalikwa katika sherehe wakati wa chakula kuwa kuna burudani kutoka kwa kijana wetu kutunza ni inaruhusiwa. Kutokana na hilo vijana wengi sasa wamejiingiza katika shughuli ya sarakasi kiasi kwamba wakati mwengine huleta usumbufu kwa wanaharusi na wageni waaalikwa. picha zikimwonyesha kijana anavyochezea moto unafikiri yupo katika mashindano ya dansi kumbe hapo ni harusini. Huu ni ukumbi wa Mamngo Garden.


Ajira ndio imeshatengenezwa hivi.

Sarakasi ndo hivi?