I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Friday, October 16

HUYU NDIE M2 ANAEFIKIRIWA KUWAMFUPI KULIKO WOTE DUNIANI

Mtu ambaye anasadikiwa kuwa ni mfupi kuliko mtu mwingine yeyote Duniani ni bwana Pingping wa China, ambaye ana umri wa miaka ishirini na ana urefu wa futi mbili na inchi tano. Kwa sasa bwana Pingping ndiye anayeshikilia tagi la mtu mfupi Duniani. Pichani juu anaonekana akiojiwa na waandishi wa habari Jijini Tokyo, Japan, na katikati akiwa amesimama na mtoto wa umri wa miaka mitatu, na picha ya chini amesimama kwenye sanamu ya aliyekuwa mtu mrefu kuliko wote Duniani.