I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Saturday, October 17

MTOTO NEAR TO ONE YEAR AKUTWA NA MAANDISHI YA QUR AN KTK NGOZI YAKE

i love islem a little baby who don't get yet one year; it's appared on his skin some lkoranic verses and prophetic says... طفل لم يبلغ السنة تظهر على جلده آيات قرآنية و احاديث نبوية


NI WAKATI SASA MI NA WEWE KUJIULIZA 2MEFANYANINI KINACHOMPENDEZA M/MUNGU.KWANI M/MUNGU ALIPOMALIZA KUTUUMBA HAKUMALIZA HAPO HAPO,BALI ALI2AHIDI KUTULETEA UKUMBUSHO JUU YAKE TIME AFTER TIME NDIO MAANA AKA2LETEA MITUME WENGI 2NAOWAJUA NA 2CO WAJUA ILI2CJE2KAMSAHAU NA KUTOFUATA MAFUNDISHO YAKE.
MITUME WENGI HADI SASA WAMESHAPITA LKN PIA BADO M/MUNGU ANATULETEA UKUMBUSHO MWENGINE TUCJE TUKAACHA MAFUNDISHO YAKE KAMA HUYU MTOTO ACEFIKISHA HATA 1 YEAR ANAMAANDISHI YANAYOONESHA KUUPENDA UISLAM.
UKWELI NI KWAMBA HUYU MTOTO HAWEZI KUANDIKA WALA KUSEMA ATAUPENDAJE UISLAM???NI WAZI KWAMBA M/MUNGU MWENYEWE AMETOA HUO MUUJIZA ILI WATU WAMKUMBUKE NA WAUPENDE UISLAM.
MWANABLOG KAZI KWANGU NA KWAKO SWALI KABLA HUJASWALIWA.