I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Monday, October 12

MAMBO HUKO PWANI YA MTWARA TZ

Wachuuzi wa samaki katika soko la samaki la Shangani Mtwara wakipara samaki tayari kwenda kutafuta wateja.

Dada ambaye hakupenda kutaja jina lake akimwendesha mama yake kuelekea katika hospitali ya mkoa baada ya kukosekana kwa huduma ya matibabu katika zahanati ya Mikindani ambayo iko kwenye matengenezo ya kuwa Kituo cha afya. kutoka Mikindani hadi Mkoani ni kama Masaa 2 hadi 3 kwa baiskeri,

Usafiri juu ya usafiri, baiskeli zimepandishwa ndani ya jahazi, hii mojawapo ya usafiri huko Mtwara.


Nani zaidi waendesha baiskeri wakishaindana katika barabara ya kutoka mtwara hadi lindi ,haya ndo maisha ya wakazi wa Mtwara.