Maximo akizungumza na waandishi wa habari
Kocha mkuu wa Taifa Stars amewaita wachezaji wanne wa timu hiyo ambao wanacheza soka la kulipwa nchi za nje kwa ajili ya kuwavaa wabrazil katika mechi itakayochezwa Juni 7 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Wachezaji hao ni Nizar Khalfan, Danny Mrwanda, Mohamed Mwarami na Henry Joseph.