Jengo hili lipo maeneo ya posta mpya baada ya kuisha litaleta sura mpya mjini
Katikati ya mji
Kila siku iendayo kwa mungu jiji la Dar es Salaam linazidi kubadilika kwa sura ya jiji kupata muonekano mpya ambapo majengo mapya yanajengwa kila siku hii inaonyesha kuwa hapo mbeleni sura ya jiji itakuwa kama Washngton DC