I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Tuesday, May 11

MKUTANO WA KUJADILI SHEREHE YA WAHITIMU TSAH 2010 ULIOFANYIKA SAINIKPURI INDIA

KATIKATI NI M/KITI TSAH BW ABDILLAH NKYA ,KUSHOTO KWAKE NI KATIBU WAKE BW JOHNSON KISAKA NA KULIA KWAKE NI M/KITI WA KAMATI YA SHEREHE YA WAHITIMU HAPA WAKIMSIKILIZA BW DUNSTAN
WANAJUMUIYA WAKISIKILIZA MKUTANO


MUWEKA HAZINA WA SHUGHULI YA MAAFALI KWA MDA MISS NEEMA AKITETA NENO NA BW WALID
VIONGOZI TSAH WAKISIKILIZA KWA UMAKINI MAENEO MBALIMBALI YALIENDWA KUANGALIWA KWA AJILI YA KUFANYIA SHUGHULI NZIMA ZA MAAFALI
BAADA YA KIKAO KWISHA WANAJUMUIYA WALIPATA PICS YA PAMOJA KWA AJILI YA UKUMBUSHO,KUTOKA KULIA NI BW DUNSTAN,MISS JOHARI,ANETH,ESTER SENKORO,NEEMA NA JOANITA
MKITI ANAESIMAMIA SHEREHE HII ALISEMA KUWA TAARIFA RASMI ITATOLEWA KUHUSU UKUMBI ULIOCHAGULIWA,TAREHE ,NA GHARAMA KWA KILA MWANAJUMUIYA