click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back
Sunday, May 2
Katibu mstaafu wa jumuiya ya tsah mwaka 2008/9 Bwana Abdallah Mbarok leo,amewalika wanajumuiya wote nyumbani kwake tolichowki hyderabad india kwa ajili kupata mlo wa mchana wa pamoja na kuwaaga wanajumuiya wote.Katibu mstaafu Bw.Abdallah anatarajiwa jumanne kuelekea nchi za uarabuni ambapo baadae ataelekea tanzania.Amewaomba wanajumuiya kama kuna sehemu walikwaruzana katika mda wote huo waliokuwa wakiishi kwa pamoja wasameheane kwani binadamu tumeumbwa ktk hali kukosea,akidai kuwa ''maisha ni kama mua, kuna matamu na machangu'',M/kiti wa jumuiya TSAH BW Abdillah D,NKYA alitoa shukran na kwa niaba ya viongozi wenzake walimtakia safari njema katibu mstaafu Abdallah Mbarok BW Matata maarufu kama TATA BOY, alialikwa mualiko rasmi nyumbani kwa katibu mstaafu kwa ajili ya kumuaga katibu wao Katibu mstaafu Bw Abdallah akiwa ABDUL AZIZ katika pics wakipata mlo wa pamoja nyumbani kwa katibu M/KITI ABDILLAH NKYA akiwa na Bw Young junior maarufu kama (mpizo) wakiwa nyumbani kwa katibu mstaafu wakibadilishana mawazo hapo na pale . Bw Abdul Azizi akiwana BW Merey katika pics wakizinguana kunywa juisi iliyoandaliwa rasmi kwa ajili yao kwa kweli wageni walikuwa kuwa wengi sana katibu mstaafu ktk pics M/KIT TSAH AKIBADILISHANA MAWAZO NA MTOA HABARI TSAH BW DANIEL MSEMO BWANA MPIZO NA TATABOY WAKIBADILISHANA MAWAZO MAKAMU MSTAAFU 2008/9 BW SADALLAH MBEYU AKIWEKA SAWA MAMBO NYUMBANI KWA KATIBU MSTAAFU WANAJUMUIYA TSAH BAADHI YA WANAJUMUIYA WA TSAH WAKIBADILISHANA MAWAZO NA M/KITI TSAH HAYA NDIO MAAKULI YALIYOANDALIWA NA KATIBU MSTAAFU KWA AJILI YA KUAGANA NA WANAJUMUIYA TSAH