I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Sunday, May 16

THE GREATEST NA JACKLINE WOLPER WAJIACHIA KWENYE SURPRSE

Jackline Wolper muigizaji katika filamu za kitanzania
Jackilne asema suprise itaniweka juu zaidi ya nilipo sasa.....
Msanii anayekuja kufunika katika SURPRISE Jackline Wolper amejiachia vilivyo katika mzigo wa SURPRISE kubeba uhalisia kamili wa uhusika.Wapenzi wa filam za kitanzania weshazoea kumuona Irene Uwoya na Auntie Ezeckiel ndio wenye kujiachia basi wajue kuna msanii mwingine yuko nyuma kabisa akitaka kuchukua nafasi zao kwani ameonyesha mambo makubwa katika filam hii mpya inayoandaliwa na kampuni bora ya kutengeneza movie Tanzania ya RJ.