Thursday, May 13
Sean kingstone awasili Dar kuwakonga wabongo kwenye kili music awards
Mwanamuziki Sean Kingston akiwasili jijini Dar usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Nyerere International airport kwa ajili ya tuzo za kilimanjaro zinazotarajiwa kufanyika ijumaa hii na siku inayofuata kuangusha bonge la shoo katika ukumbi wa diamond jubilee. kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Kilimanjari Premeum Lager George Kavishe
Sean Kingston akiwa na Mkurugenzi wa masoko wa TBL,David Minja (kulia) pamoja na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakitokea ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku wa kumkia leo.wengine ni baadhi ya wanacrew alioambatana nao Sean Kingston.