I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Wednesday, November 4

MGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI TSAH MR ABDILLAH D NKYANDUGU MTANZANIA NA MWANAJUMUIA WA TSAH ELIMU,MICHEZO,UMOJA NA TECHNOLOGY NI VITU AMBAVYO VINALETA MAENDELEO KATIKA JAMII HIVYO BASI KWA UBORESHAJI NA MAENDELEO YA TSAH USIPOTEZE KURA YAKO KWA MTU AMBAYE ANAWEZA KUHARIBU VITU HIVI AU KWA NAMNA MOJA KUTOVIFANYA KWA UFANISI.
MPIGIE KURA ABDILLAH D, NKYA
KATIKA NAFASI YA UENYEKITI
KWA MAENDELEO YAKO NA WENGINE KWA UJUMLA