I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Wednesday, May 5

KATIBU MSTAAFU TSAH BW. ABDALLAH MBAROK AREJEA NYUMBANI BAADA YA KUTIMIZA AHADI YAKE YA MASOMO MIAKA 3 HYDERABAD INDIA,HAPA AKIWA UWANJA WA NDEGE WA SHAMSHABAD MJINI HYDERABAD INDIA KWA AJILI YA SAFARI YA KUREJEA NYUMBANI TANZANIAKATIBU ANAWATAKIA WANAJUMUIYA WOTE TSAH MASOMO MEMA ,ALISEMA KATIKA CHAKULA CHA PAMOJA CHA WANAJUMUIYA WOTE ALICHOKIANDAA NYUMBANI KWAKE TOLICHOWKI, NA KUONGEZEA KUWA KAMA KUNA SEHEMU ALIKWARUZANA NA MWANAJUMUIYA AMEMSAMEHE NA ALIOMBA NA YEYE ASEMEWE KWANI NDIO MAISHA YA BINADAMU YALIVYO.
M/kiti TSAH Bw ABDILLAH NKYA kulia alimsindikiza katibu mstaafu AIRPORT,HAPA WAKIPATA PICS YA PAMOJA .
SAID MUSTAFA ALIMAARUFU KAMA, TATA BOY ,ALIMSINDIKIZA KATIBU MSTAAFU ABDALLAH,NA HAPA WALIPATA PICS YA PAMOJA
KWA KWELI KATIBU MSTAAFU BW ABDALLAH ALIKUWA MTU WA WATU SANA SWAHIBA ZAKE WOTE WALIJITOKEZA KWA WINGI KWENDA KUMSINDIKIZA AIRPORT
HAPA KATIBU AKIAGANA NA MR SAMWEL NA NASIB ...AKISEMA KWA UTANI .....TULIKUJA NJIA HII HII...NI HII HII NDIO TUTAKAYORUDIA..
MOH'D MAARUFU KAMA URARY97 NA Mr.AHMED WALIMSINDIKIZA KATIBU MSTAAFU AIRPORT
M/kiti tsah Mr,ABDILLAH NKYA AKIWA NA URARY 97 WALIPATA PICS YA PAMOJA WALIPOMSINDIKIZA KATIBU MSTAAFU AIRPOT
HAWA NI WANA TOLICHOWKI WALIPATA PICS YA PAMOJA WALIPOMSINDIKIZA KATIBU MSTAAFU TSAH


HII NDIONDEGE ALIYOONDOKA NAYO KATIBU MSTAAFU ,KWA KILA LA KHERI KATIBU WETU TSAH TUNAKUTAKIA SAFARI NJEMA
TUNAKUTAKIA SAFARI NJEMA KATIBU TSAH..................BYE