Katibu mstaafu wa jumuiya ya tsah mwaka 2008/9 Bwana Abdallah Mbarok leo,amewalika wanajumuiya wote nyumbani kwake tolichowki hyderabad india kwa ajili kupata mlo wa mchana wa pamoja na kuwaaga wanajumuiya wote.Katibu mstaafu Bw.Abdallah anatarajiwa jumanne kuelekea nchi za uarabuni ambapo baadae ataelekea tanzania.Amewaomba wanajumuiya kama kuna sehemu walikwaruzana katika mda wote huo waliokuwa wakiishi kwa pamoja wasameheane kwani binadamu tumeumbwa ktk hali kukosea,akidai kuwa ''maisha ni kama mua, kuna matamu na machangu'',M/kiti wa jumuiya TSAH BW Abdillah D,NKYA alitoa shukran na kwa niaba ya viongozi wenzake walimtakia safari njema katibu mstaafu Abdallah MbarokSunday, May 2
Katibu mstaafu wa jumuiya ya tsah mwaka 2008/9 Bwana Abdallah Mbarok leo,amewalika wanajumuiya wote nyumbani kwake tolichowki hyderabad india kwa ajili kupata mlo wa mchana wa pamoja na kuwaaga wanajumuiya wote.Katibu mstaafu Bw.Abdallah anatarajiwa jumanne kuelekea nchi za uarabuni ambapo baadae ataelekea tanzania.Amewaomba wanajumuiya kama kuna sehemu walikwaruzana katika mda wote huo waliokuwa wakiishi kwa pamoja wasameheane kwani binadamu tumeumbwa ktk hali kukosea,akidai kuwa ''maisha ni kama mua, kuna matamu na machangu'',M/kiti wa jumuiya TSAH BW Abdillah D,NKYA alitoa shukran na kwa niaba ya viongozi wenzake walimtakia safari njema katibu mstaafu Abdallah Mbarok

