I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Thursday, October 7

Tangazo la uchaguzi Wa viongozi 2010/11 (TSAH)-Hyderabad India


UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA

HYDERABAD-INDIA

(TSAH)


Kamati Maalum ya Uchaguzi wa viongozi

Tangazo la Uchanguzi Tarehe 31/10/2010


Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote wa Kitanzania, wanaosoma katika vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za kitaaluma hapa Hyderabad India, kuwa kutakuwa na uchaguzi mkuu wa viongozi wa Umoja kwa mujibu wa katiba yetu.

Wale wote wenye sifa za kuongoza jumuiya yetu, mnakaribishwa kuchukua fomu kwa wajumbe wa tume waliotajwa hapo chini.

Ratiba kamili ya zoezi zima ni kama ifuatavyo.

a. Kuchukua fomu na kuzijaza 5/09/2010 mwisho wa kurudisha ni 24/10/2010

b. Kukutana na Kamati ya uchaguzi ili kukubaliana kanuni za uchaguzi 24/10/2010

c. Kampeni na maandalizi tarehe 25/10/2010 hadi 31/10/2010

d. Tarehe ya uchaguzi ni 31/10/2010 eneo la Sainikpuri-Ukumbi mtajulishwa baadaye.

Wajumbe

Tabagi A: Mwenyekiti +918897943864 Tolichowki

Majinge, D, Mjumbe +919966954555 begin_of_the_skype_highlighting +919966954555 end_of_the_skype_highlighting Sainikpuri

Simbo, Mjumbe +919948460883 begin_of_the_skype_highlighting +919948460883 end_of_the_skype_highlighting Sainikpuri

Lipina, Mjumbe +919885186905 begin_of_the_skype_highlighting +919885186905 end_of_the_skype_highlighting Singapore city

Kulwa, K. Mjumbe +919618477357 begin_of_the_skype_highlighting +919618477357 end_of_the_skype_highlighting Alwal)

Makwinya, J: Katibu +919618477428 begin_of_the_skype_highlighting +919618477428 end_of_the_skype_highlighting Tolichowki

Tabagi, Abel

Mwenyekiti wa kamati maalum ya uchaguzi