I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Tuesday, October 5

Msiba Tanzania na India Hyderabad


Hayati ANTHONY ATHANAS MIHIGO 11 APRIL 1975 to 02 OCTOBER 2010 Ndugu habari ya leo kwa heshima na taadhima tunaomba kutumia nafasi hii kutangaza kifo cha mpendwa wetu Anthony Athanas Mihigo aliyejulikana zaidi kama TONNY na wenngine walimfahamu kama TONNY DRAFT, kaka wa Adolf Athanas Mihigo kilichotokea kwa ajali ya gari usiku wa Ijumaa (01/10/2010) kuamkia siku ya jumamosi huko nchini INDIA katika mji wa HYDERABARD alikokuwa akifanya shughuli zake za biashara kwa muda wa miezi miwili iliyopita.

Mipango ya kusafirisha mwili kuuleta hapa Dar Es Salaam kwa mazishi inaenda vyema kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa jamaa zetu walioko huko wakiongozwa na mpambanaji Dougras Makongoro Bwire. Kwa wale wa Dar msiba upo nyumbani kwa baba wa marehemu eneo la sinza jirani na kituo cha mafuta cha GBP, ni wakati muafaka kufarijiana na kujuliana hali, Kwa mawasilaino na ndugu pamoja na jamaa kupata “updates” unaweza kuwasiliana na :- Adolf Mihigo 0713-767680 Tonny Kingunge 0713-552994 Salum Mpugusi 0655-281081 Dougras Makongoro +919985985853 "BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE"