I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Tuesday, February 2

TAARIFA YA MSIBA WA MTANZANIA BANGALORE


UONGOZI WA TASABA CHINI YA RAIS FIDELIS MSOMEKELA KWA MASIKITIKO MAKUBWA UNATANGAZA MSIBA WA KAKA YETU IMRAN MTUI ULIOTOKEA USIKU WA KUAMKIA TAREHE 31 JANUARI.UONGOZI WA TASABA UKISHIRIKIANA NA MJUMBE WA UBALOZI WA TANZANIA INDIA WANAFUATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA.KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NA VIONGOZI WA TASABA NAMBA ZAO ZA SIMU +919742176980,+919663877196 NA +919538471894.MUHESHIMIWA RAIS FIDELIS AMEWAOMBA WATANZANIA KUWA WATULIVU MUDA HUU WA MSIBA NA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KUHAKIKISHA TUNAMALIZA MSIBA HUU SALAMA.MSIBA HUPO KWA DADA HAKIKA
ADDRESS
3RD FLOOR
1ST MAIN
GOPALA REDDY LAYOUT
BANASWADI
BANGALORE-78
INDIA

MUNGU AILAZE ROHOYA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.