I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Thursday, February 18

JIDE ASHINDWA KUSIMAMARipoti ya uchunguzi wa Ijumaa inakwenda mbele zaidi ya ugonjwa wa Malaria ambao hivi karibuni ulimlazimu kukimbizwa kwenye hospitali daraja la kwanza Dar, Aga Khan baada ya kukumbwa na tatizo la mwili kuishiwa nguvu na kushindwa kutembea.

Ijumaa limebaini kuwa, Jide hapati muda wa kupumzika kutokana na ratiba yake kuwa ‘taiti’ hivyo kuulazimisha mwili wake kupiga mzigo bila kujali uchovu.

Aidha, kuna ‘nyiuzi’ za kidaku kuwa, kufuatia kuwa ‘taiti’ kupita maelezo akipanda majukwaani na bendi yake ya Machozi kutoa burudani, mwanamuziki huyo amekuwa akikumbwa na uchovu mkubwa kupita kiasi hivyo mwili kuwa katika hali ya kudhoofu na wakati mwingine kushindwa kusimama kwa muda mrefu.