I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Monday, March 28

HapPy B.dAy Miss Kichunaz.....!!!!!!!

Leo ni siku ya kuzaliwa Miss Saada kassim (Kichunaz) 28,march blog hii..na kwa niaba ya ndugu zake wa karibu tolichowki na sainikpuri Hyderabad,India wote kwa pamoja tunamtakia furaha yeye na familia yke yote M/Mungu ampe afya njema ktk maisha yke na mafanikio ktk siku zake nyingine za usoni karibu Dada ye2 kwenye huu ulimwengu wenye kila sifa utakazo zihitaji

we wish u a happy b.day........