I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Saturday, March 5

Dogo janja akatwa mitama na mwalimu wake....


wiki iliyopita msanii mdogo kuliko wote Bongo, Abdul Azizi (Dogo janja) alipokea kipigo cha ngumi mateke pamoja na mtama kutoka kwa mwalimu wake wa shule aliyopo (Makongo high school).kwa maelezo ya dogo janja ni kuwa alikuwa akiongea na wanafunzi wenzake kabla ya kuskia mtu akimuita "Dogo Jinga mjoo hapa" kumtizama akaona ni mtu tu asieyenamuonekano wa uwalimu amevaa mlegezo ndipo akamjibu "Kubwa jinga nakuja" ndipo mwalim huyo alipomsubiri wakati wa paredi na kumfanyia mbaya.

MSIKILIZE ANAVYOCHAPA KWA ULIMI HAPA