I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Thursday, June 3

MAMA SALMA KIKWETE ALIPOTEMBELEA WILAYA YA PANGANI MKOANI TANGA

Hapa kikabidhi hundi ya shilingi milioni mbili kwa umoja wa kinamama wilayani Pangani.
Mkuu wa mkoa wa Tanga meja jenerali mstaafu Saidi Saidi Kalembo aliyevaa suti, akiwa na mgeni wake punde tu alipowasili hotelini hapo kwa ajili kuzungumza na wananchi wa Pangani pamoja na umoja wa kinamama wilayani hapa UWT!
Akiteremka kwenye kivuko kutokea kijiji cha Mwera alipokwenda kutoa msaada kwenye vituo cha afya
Akitazama kazi mbalimbali zinazofanywa na akina mama wa Pangani.
Mama akawaaga wananchi wa Pangani. Karibu tena tanga kunani..Ujio wako ulikuwa mzuri na kweli wananchi walinufaika kwa msaada wako.