I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Monday, June 14

VIJANA CHUO KIKUU DODOMA WAMBEBA KIKWETE KWENDA KUCHUKUA TIKETI YA KUGOMBEA URAIS AWAMU YA PILI

Vijana Vyuo Vikuu Dodoma Waandamana kumuunga mkono JK kugombea Urais kwa tiketi ya CCM Mwaka huu
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM kutoka vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma wakila kiapo cha utii mbele ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma leo mchana.
Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma walishiriki katika maandamano ya kumuunga mkono kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Urais mwaka huu kwa tiketi ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wanachama wapya wa CCM kula kiapo cha utii kwa Chama Cha Mapinduzi muda mfupi baada ya kuwakabidhi kadi za uanachama wakati wa maandamano ya kumuunga mkono yaliyofanyika mjini Dodoma.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo George Mkuchika, Kaimu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa, na Katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba.
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM kutoka vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma wakila kiapo cha utii mbele ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma leo mchana