I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Sunday, June 6

kikao cha viongozi wa jumuiya ya wanafunzi Hyderabad (TSAH) na balozi wa Tanzania nchini India kilichofanyika FORTUNE HOTEL PARK mjini hyderabad

Hapa M/kiti wa jumuiya ya wanafunzi Hyderabad Bw,Abdillah D.Nkya akisaini baada kupokea kitita cha rupees 10,000/= kutoka kwa balozi ambayo aliihaidi kuchangia mfuko wa jumuiya katika maafali yaliyopita
Balozi akifafanua jambo katika kikao
M/kiti wa bodi tsah Bw Daniel Masimbus akifafanua jambo.......
Mkiti wa jumuiya tsah Abdillah Nkya akifafanua jambo............
Haya ni baadhi ya majarida ambayo mhe balozi aliyatoa kwa ajili ya jumuiya
viongozi tulipata pics ya pamoja na mhe balozi kijazi baada ya kumaliza kikao
MH.BALOZI KIJAZI AKIWA NA M.KITI WA BODI TSAH DANIEL MASIMBUSI
HAPA VIONGOZI TULIPATA PICS YA PAMOJA BAADA KUMALIZA KIKAO NJE YA HOTEL FORTUNE PARK ...KUTOKA KULIA NI M/KITI WA JUMUIYA TSAH BW ABDILLAH D NKYA.ANAEFUATA NI M/KITI WA KAMATI YA STAREHE TSAH DANIEL MSEMO NA MWISHO NI M/KITI WA BODI TSAH BW DANIEL MASIMBUSI
HAPA MWENYEKITI WA JUMUIYA NA M/KITI WA BODI WAKIWA NA MJUMBE WA JUMUIYA (KATIKATI)BW ABEL TABAGI WAKIWA NJE YA HOTEL YA FORTUNE PARK BAADA YA KUMALIZA KIKAO NA BALOZI KIJAZI
KATIKA KIKAO HICHI KULIZUNGUMZWA MAMBO MENGI YANAYOHUSU MAENDELEO YA JUMUIYA YA TSAH,NA HATA HIVYO MHE BALOZI KATIKA KIKAO HICHI ALITOA RUPEES 10,000/- AMBAYO ALIIAHIDI KTK MAAFALI YALIYOPITA KWA AJILI YA KUCHANGIA MFUKO WA JUMUIYA