Wednesday, January 5
Jamani mchumba wa Dr..Slaa.....!!!!
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa mjini Arusha jana. Viongozi wa juu wa Chadema wamekamatwa wengine wamejeruhiwa vibaya, akiwemo mchumba wa Dk. Slaa, Bi Josephine'pichani' mshike mshike uliotokea baada ya chama cha chadema kuzuiliwa kufanya maandamano yaliyoandaliwa na chama hicho