Msanii wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama 2Proud a.k.a Mr II a.k.a Sugu akipokea fomu za kugombea ubunge katika ofisi za Chama cha CHADEMAjijini Dar leo tayari tayari kwa safari ya kwenda jimboni Mbeya
Sugu akisaini fomu zake Sugu akiwa na washkaji baada ya kukabidhiwa bendera ya CHADEMA
Sugu na washkaji wakikupa alama ya ushindi ya CHADEMA
Sugu akipata maudhui ya kichama kabla ya kuanza safari ya Mbeya