I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Tuesday, July 6

SHEREHE YA KUPATA SHAHADA MBALIMBALI YA WANAFUNZI WA KITANZANIA WASOMAO NCHINI INDIA MJINI HYDERABAD ILIYOFANYWA NA JUMUIYA YA WANAFUNZI HYDERABAD

Mgeni rasmi Prof A.v ramana Rao akipokea ua kutoka kwa mwanajumuiya tsah nchini India kulia kwa mgeni rasmi ni M/kiti wa jumuiya wanafunzi nchini india (T.S.A.H) Bw.Abdillah D.Nkya na kushoto kwa mgeni rasmi ni Mkiti wa kamati ya elimu tsah Bw.Venant Ngaiza.
Mwanajumuiya TSAH Doris akifungua shampeni katika shehere ya wahitimu...
Miss Neema Rehani akipokea cheti chake ktk sherehe ,mwanadada huyu pia alipokea cheti kingine cha muweka hazina bora tsah (MOST VALUABLE TREASURE TSAH)kilichoandaliwa na jumuiya kwa ajili ya kazi nzuri aliyoifanya ktk jumuiya ya kuhifadhi na kuelekeza mambo mbalimbali ya kifedha ktk jumuiya ikiwepo sherehe hii.
Hapa wahitimu walipata pics ya pamoja na mgeni rasmi ,walikuwa na furaha isiyo kifani
Haya ndio mazingira ambapo kuku,bata ,mbuzi na vingine vingi vinavyoliwa na binadamu vilipoliwa na wanajumuiya tsah....hongereni sana wahitimu tsah...
kwakweli mazingira yanavutia sana
Wanajumuiya tsah waki enjoy maeneo mbalimbali ndani ya bustani la Leonia Lesort
Hapa kwa mbali namwona Abdul aziz na Nassib ...wakila raha ndani ya kisima cha Leonia Resort
Hapa wanajumuiya TSAH.wakienda machinjioni kuji sevia mbuzi alioandaliwa kwa ajili yao Leonia resort
HAYA MAJI JINSI YALIVYOTULIA HATA UKIZAMA UNAPATA OXYGEN....YAANI UNAPUMUA KAMA KAWAIDA ..UNAWEZA KUZAMA MASAA 2 KAMA ALIVYOFANYA ABDUL AZIZ
WANAJUMUIYA WAKIPUNGA UPEPO KUTOKA KISIMANI LEONIA LESORT
Kijana Nassib akiwa kisimani akicheza mpira................
wanajumuiya wakila shangwe
duh!jamani wanajumuiya mmetoka bomba ile mbaya.............hii ntaichukua

wanajumuiya ktk pozi...........
Huyu na Mkiti wa kamati ya starehe tsah...hapa akiwa anatafakari jambo....
wanajumuiya hapa baada ya kupata chai ya jioni ya pamoja ....walipumzika kidogo...
Mwenye fulana ya njano ni Praygod ..ni mmojawapo waliopewa vyeti maalum vya (MULTEMEDIA TECHNOLOGY)..Vilivyotolewa na jumuiya ya TSAH...huyu pia ndio aliyedizaini vyeti vya wahitimu TSAH
Wapili kutoka kushoto kwako ni M/kiti wa bodi ya tsah Bw.Daniel Masimbus ....
Muhitimu Bw.fransis akipokea cheti chake cha kuhitimu shahada yake ya kwanza ..
kwa kweli raha sana kupata shahada.........ya kwangu cjui lini....??
Abdul aziz na Walid wakionesha vyeti vyao ktk pics.....tutakuja kupata tu nasi....
Hapa wanajumuiya wakipakua kula walivyoumbiwa na M/mungu
MH!KULENI VYA JUU NA CHINI...VIOGELEAVYO,VIPAAVYO NA VITEMBEAVYO...
WANAJUMUIYA WAKILA VINAVYOLIWA NA BINADAMU......
Muweka hazina wa sherehe ya hii ..Neema akichati na..................
Bw Simbo alipata pic ya pamoja na familia yake ...leonia resort...
Wa pili kushoto kwako ni external auditor wa jumuiya tsah alipata pic ya pamoja na ndugu zake
Kwa kweli wanajumuiya waling'aa sana..........

Wa katikati ni Mkiti wa jumuiya TSAH Bw Abdillah Nkya kushoto kwake ni Bw Khalid Said na kulia kwake ni Anwar Mohamed walipata pic ya pamoja ...
kwa kweli sherehe ilikuwa nzuri sana ..............
Wanajumuiya wakipunga upepo utokao kisimani leonia .....
Hapa wanajumuiya wakishangweka na mziki laini...........uco vunja mfupa
HAPA NDIO SHEREHE ILIPOISHIA
UONGOZI TSAH UNAWAPONGEZA WAHITIMU WOTE WALIOPATA SHAHADA 2010 ,NA UNAWAOMBEA KWA M/MUNGU AWANYOOSHEE NJIA BORA KATIKA MAISHA YENU YA BAADAE.