I WISH U A MARRY XMASS & HAPPY NEW YEAR 2012

click the word video above 2 watch the clips & cloz 2 back

Saturday, February 26

Wanafunzi wa kitanzania waishio hyderabad India eneo la tolichowki wakionesha Umoja wao kwa kukutana mara kwa mara kubadilishana mawazo

Hawa ndio wazoefu wa kitaa hicho cha tolichowki udocni,wa kwanza kulia kwako ni Mkiti mstahafu wa jumuiya ya wanafunzi waishio hyderabad Bw.Abdillah Nkya akifatiwa na Mr.Nassib ,Mr said aka Dr Matata ambaye hajawahi kukaukiwa na stori za maskani hata siku moja akifuatiwa na Bw.Alex,Bw.Habib maarufu bwana kudo nyuma ya aliyevaa shati namba 10,mwenye nyekundu bwana Ally na mwenye jezi no 10 ni.Mr Hashim
Mr Nkya na bw. Mohammed maarufu urary 95
kikosi kizima cha tolichowki ...kusema ukweli ule msemo wa '' umoja nguvu na mshikamano''unapatikana kwenye hii picha
huwezi kuamini hawa watanzania walivyokuwa na umoja na mshikamano....umoja huu walijengea na nchi yao hivyo wanaudumisha hata wakiwa kwenye nchi za watu
Hapa kuna kichwa cha computa ,sheria ,hesabu na habari gusa unase....
''nipe gwala.....................''
wakongwe wa tolichowki india wako zaidi ya miaka 3...
Hapa Bw Tabagi akigawa t shirt zenye kuonesha utamaduni wa kitanzania..
''Huyu dogo anapenda sana kutafuna kijiti....''
Hapa anatafuta kijiti kingine......
Miss Dina akijaribu T shirt yenye kuonesha utamaduni wa kitanzania kutoka kwa Bw Tabagi
Bw.Tabagi akionesha T.shirt zinaonesha utamaduni wa kitanzania ...
Huyu ni Mr.Adam na Mr Patrick..... wakionesha ushirikiano waliokuwa nao..Hapo kuna kichwa cha uchumi na computa
Mr Nassib huyu ni kichwa kwenye masuala ya network na makorokoro yote ya Java..
Hapa ni mpango mzima wa kupeleka pwani....shiba upate mwili
''Eti tabagi hiyo Tshirt bei gani..?,......rupees 400/=tu....
Miss Dina nae hakuwa nyuma ..ni ktk mamis wanaojitolea kuendesha libenenge la umoja wa wanafunzi waishio hapa mjini hyderabad india
kulia kwako wa kwanza ni Mr.Joseph Makwinya huyu ndie aliyeandaa shughuli hii ...ambapo pamoja na kubadilishana mawazo ya hapa na pale ..alihakikisha kila mtu anagonga mishkaki kadhaa,kuku wakuchoma ,kinywaji cha kulainisha koo,na hata kwa wale wapenzi wa viepe pia alihakikisha nao wanavisinabuda
kwa kweli inafurahisha sana wanafunzi wakigeni tunapokutana kama hivi ,na kujadili mambo mbalimbali,ya kwetu na nyumbani Tanzania yaani unasikia furaha 90 degree angle